• HABARI MPYA

  Saturday, September 24, 2016

  AZAM VETERANI YAIRARUA SITAKISHARI 2-0 GYMKHANA

  Kikosi cha Azam Veterani kabla ya mchezo dhidi ya Sitakishari kuwania Kombe la Urafiki leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam. Azam Veterani imeshinda 2-0 mabao ya Abdulkarim Amin 'Popat' na Huzu Kajembe 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM VETERANI YAIRARUA SITAKISHARI 2-0 GYMKHANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top