Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, September 30, 2016

  IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHINDA 1-0 ULAYA

  Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic (kulia) akimtoka beki wa Zorya Luhansk ya Ukraine, Mikhail Sivakov anayejaribu kucheza rafu katika mchezo wa Kundi A Europa League usiku huu Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 1-0 bao pekee la Ibrahimovic dakika ya 69 akimalizia kazi nzuri ya Nahodha, Wayne Rooney PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHINDA 1-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top