Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa kwanza kabisa wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu, Simba SC mwaka 2001 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Kutoka kulia waliosimama Chibe Chibindu, Waziri Mahadhi, Mohamed Abubakar ‘Phantom’, Iddi Moshy, Mohamed Abdulkadir ‘Tash’ na Mtwa Kihwelo. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Yahya Issa, Edibily Lunyamila, Doyi Moke, Ally Mayay na Said Maulid ‘SMG’. Yanga ilishinda 2-1
England to play Ukraine World Cup qualifier at Everton
-
The Lionesses will host Ukraine in their Women's World Cup qualifier at the
Hill Dickinson Stadium in June.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment