• HABARI MPYA

  Thursday, September 22, 2016

  MALKIA WA KABUMBU AFRIKA MASHARIKI NA KATI WALIVYOREJEA NA MWALI WAO LEO

  Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens wakifurahi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo wakitokea Jinja, Uganda ambako jana waliifunga Kenya 2-1 na kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MALKIA WA KABUMBU AFRIKA MASHARIKI NA KATI WALIVYOREJEA NA MWALI WAO LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top