• HABARI MPYA

    Sunday, August 14, 2016

    YANGA NA MO BEJAIA KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Winga wa Yanga, Simon Msuva akiruka kwanja la beki wa MO Bejaia, Zacharia Bencherifa ya Algeria jana katika mchezo wa Kundi A 
    Winga wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto kipambana na a)
    Beki wa Yanga, Juma Abdul akijaribu kumkponya mprim
    Beki wa Yanga,m Vincent Biossou akupambana na bekiā wa MO Bejaia, Zacharia Bencherifa
    Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akipamban na beki wa MO Bejaia, Faouzi Rahal
    Winga wa Yanga, Simon Msuva akmtoka beki wa MO Bejaia Zacharia Bencherifa
    Beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali akipiga mpira kichwa mbele ya mchezaji wa MO Bejaia, Yaqssine Sakhi
    Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimtoka beki wa MO BejaiaMohamed Yacine Athman
    Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
    Kikosi cha MO Bejaia kilichoanza jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MO BEJAIA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top