• HABARI MPYA

    Sunday, August 14, 2016

    CHIBE CHIBINDU; BEKI MWINGINE ALIYEKUWA ANAFUNGA YANGA

    Beki wa kushoto wa Yanga, Chibe Chibindu (kushoto) akipongezwa na mshambuliaji Iddi Moshi baada ya kufunga bao zuri la pili kwa shuti la mbali dhidi ya Kajumulo WS katika mechi ya Ligi Kuu ya Muungano Oktoba 24, mwaka 2000 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHIBE CHIBINDU; BEKI MWINGINE ALIYEKUWA ANAFUNGA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top