• HABARI MPYA

  Saturday, August 06, 2016

  MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA LEO DIAMOND JUBILEE

  Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji (wa pili kushoto) akizungumza na wadau mbalimbali wa klabu hiyo leo kwenye Mkutano Mkuu wa dharula ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam
  Wanachama wa Yanga wakiwa wamesimami masanduku ya kura wakati wa Mkutano huo. Masanduku haya ambayo hata hivyo hayakufanya kazi iliyokusudiwa, yalitolewa ili kupiga kura za kuwakataa Wajumbe wa Kamati ya Utendaji, Ayoub Nyenzi, Salum Mkemi na Hashim Abdallah waliotofautiana na Mwenyekiti
  Wanachama wa Yanga wakifuatilia Mkutano huo leo kwa makini ukumbi wa Diamond Jubilee
  Wanachama wa Yanga wakifuatilia Mkutano huo leo kwa makini ukumbi wa Diamond Jubilee
  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Samuel Lukumay (kushoto) na Katibu, Baraka Deusdedit (kulia) 
  Mjumbe wa Baraza la Wadhamini, Francis Kifukwe (kulia) na Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga
  Viongozi wa zamani wa klabum, Isaac Chanji na Mussa Katabaro (kulia)
  Wanachama wa Yanga wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wao, Manji (hayupo pichani) leo
  Kushoto ni Abdallah Ahmed Bin Kleb ni kulia ni 'Profesa' Bakili Makele

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA LEO DIAMOND JUBILEE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top