• HABARI MPYA

    Sunday, August 07, 2016

    LIVERPOOL YAITANDIKA BARCELONA 4-0 NA MESSI NA SUAREZ WAO NDANI!

    Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka mchezaji mpya wa Liverpool, Georginio Wijnaldum katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Wembley usiku wa Jumamosi. Liverpool ilishinda 4-0, mabao ya Sadio Mane dakika ya 15, Javier Mascherano aliyejifunga dakika ya 46, Divock Origi dakika ya 50 na Marko Grujic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAITANDIKA BARCELONA 4-0 NA MESSI NA SUAREZ WAO NDANI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top