Mwanariadha wa Ethiopia Almaz Ayana akiinua mikono kushangilia baada ya kumaliza mbio za mita 10,000 kwa kuvunja rekodi ya dunia akitumia muda wa dakika 29 na sekunde 17.45, hivyo kutwaa Medali ya Dhahabu mjini Rio, Brazil. Mkenya, Vivian Cheruiyot alishinda Medali ya Fedha, mbele ya Mhabeshi mwingine, Tirunesh Dibaba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Simba watua Iringa ‘Full’ mzuka
-
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamewasili salama mjini Iringa na mzuka tele
wakitokea Morogoro walikoanza safari mchana wa leo wakiwa na kikosi cha
wachezaji 24...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment