• HABARI MPYA

    Wednesday, August 17, 2016

    MALIMA ‘JEMBE ULAYA’, SMG, MATOLA NA TIGANA WALICHEZA PAMOJA SIMBA

    Kikosi cha Simba SC mwaka 2000 kutoka kulia waliosimama ni Muharami Mohamed ‘Shilton’, Said Maulid ‘SMG’, Suleiman Matola, Ally Yussuf ‘Tigana’, Omar Hussein Daima, Shauri Iddi, Mussa Msangi (sasa marehemu), Gemin Kiiza, Patrick Betwel na Daktari. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Bakari Malima, Mrisho Moshi, William Fahnbullah, Wycliff Ketto, Steven Mapunda ‘Garrincha’, Omar Tamba, Athumani Macheppe (sasa marehemu) na Doyi Moke. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALIMA ‘JEMBE ULAYA’, SMG, MATOLA NA TIGANA WALICHEZA PAMOJA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top