• HABARI MPYA

    Friday, August 05, 2016

    KILA MCHEZAJI LEICESTER CITY APEWA BMW LA HATARI ZAWADI YA UBINGWA ENGLAND

    Gari aina ya BMW zenye thamani ya Pauni 110,000 kila moja zikiwa zimepaki nje ya Uwanja wa Kings Power leo. gari hizo wamezawadiwa wachezaji wa Leicester City kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England msimu uliopita  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KILA MCHEZAJI LEICESTER CITY APEWA BMW LA HATARI ZAWADI YA UBINGWA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top