MAVUGO ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC LEO, HUYU MTU KWELI NOMA!
Mshambuliaji mpya wa Simba, Laudit mavugo (kushoto) akitafakari aende pande zipi baada ya kufanikiwa kumchenga kiungo Mohamed 'Mo' Ibrahim katika mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam
Mavugo kama anatoa pasi, kumbe anauweka njiani aanze safari
Mavugo amefunga mabehewa safari hiyo inaendelea
Hapa ni kiungo mkongwe, Mwinyi Kazimoto Mwitula akimfundishga vitu mdogo wake Jonas Gerald Mkude
Hapa ni kiungo Peter Mwalyanzi (kushoto) akipambana na beki mpya, Hamad Juma kutoka Coastal Union
Kushoto ni winga mwenye kasi, Shizza Kichuya akitafuta maarifa ya kumtoka beki makini, Mohammed Hussein 'Tshabalala'
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment