• HABARI MPYA

  Tuesday, August 16, 2016

  DIEGO COSTA AING'ARISHA CHELSEA YA CONTE ENGLAND, YASHINDA 2-1

  Diego Costa akiifungia bao la ushindi Chelsea dakika moja kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya West Ham United kumalizika usiku wa Jumatatu Uwanja wa Stamford Bridge, London kikois cha Antonio Conte kikianza kwa ushindi wa 2-1 nyumbani. Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa na Eden Hazard kwa penalti dakika ya 47 kabla ya beki James Collins kuisawazishia West Ham dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AING'ARISHA CHELSEA YA CONTE ENGLAND, YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top