• HABARI MPYA

  Tuesday, August 16, 2016

  MKENYA DAVID RUDISHA AWEKA REKODI MPYA OLIMPIKI TANGU 1964

  Mwanariadha wa Kenya, David Rudisha akimalizia mbio za mita 800 Wanaume Olimpiki mjini Rio na kuweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kutetea Medali ya Dhahabu ya mbio hizo tangu mwaka 1964, baada ya kuvunja rekodi ya dunia katika Olimpiki ya London 2012 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKENYA DAVID RUDISHA AWEKA REKODI MPYA OLIMPIKI TANGU 1964 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top