• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2016

  CHELSEA YAMALIZA MECHI ZA KUJIPIMA KWA USHINDI WA 4-2

  Nyota wa Chelsea, Eden Hazard akimtoka mchezaji wa Werder Bremen, Clemens Fritz katika mchezo wa kirafiki leo. Chelsea ilishinda 4-2, mabao yake yakifungwa na Hazard dakika ya saba, Oscar dakika ya tisa, Costa dakika ya 45 na Pedro dakika ya 90, wakati ya Bremen yalifungwa na Claudio Pizarro dakika ya 32 na Lennart Thy dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAMALIZA MECHI ZA KUJIPIMA KWA USHINDI WA 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top