Nyota wa Barcelona, Neymar akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Brazil katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Honduras jana Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro katika mchezo wa Nusu Fainali Olimpiki 2016 soka. Neymar alifunga tena kwa penalti, wakati mabao mengine ya Brazil yalifungwa na mchezaji mpya wa Manchester City, Gabriel Jesus mawili, beki wa Paris Saint-Germain, Marquinhos aliyejifunga na Luan. Brazil sasa itamenyana na Ujerumani katika fainali ambayo imeitoa Nigeria kwa kuichapa 2-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Djokovic cruises into Australian Open third round
-
Novak Djokovic will need to conserve energy if he is to make history at the
Australian Open - and he has not dropped a set in the first two rounds.
50 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment