Wachezaji wa Barcelona wakifurahia na taji lao la Super Cup ya Hispania baada ya kulitwaa kufuatia kuifunga mabao 3-0 Sevilla Uwanja wa Camp Nou na kulibeba kwa ushindi wa jumla wa 5-0 kufuatia awali kushinda 2-0 ugenini. Mabao ya Barca jana yalifungwa na Ardur Turan mawili na Lionel Messi moja, wakati kipa Claudio Bravo anayetakiwa na Manchester City alicheza penalti ya Vicente Iborr wa Sevilla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ospreys' Morris bouncing back after toughest year
-
Ospreys number eight Morgan Morris can push for a first Wales call-up by
finishing strongly in the United Rugby Championship, says his coach Mark
Jones.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment