Wachezaji wa Real Madrid wakisherehekea taji la Super Cup ya UEAFA jana Uwanja wa Lerkendal mjini Rosenborg, Norway baada ya kuwafunga kwa Sevilla 3-2 ndani ya dakika 120. Mabao ya Real iliyowakosa nyota wake kama Pepe, Gareth Bale na Cristiano Ronaldo yalifungwa na Marco Asensio dakika ya 21, Nahodha Sergio Ramos dakika ya 90 na ushei na Dani Carvajal dakika ya 119, wakati ya Sevilla yalifungwa na Franco Vazquez dakika ya 41 na Yevhen Konoplyanka dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
New F1 cars 'look really cool' - Russell
-
McLaren and Red Bull release images of their 2026 Formula 1 cars as
pre-season testing begins in Spain.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment