Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akinyoosha mkono kufurahia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 41, 78 na 89 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Steaua-Bucharest kwenye mchezo wa kuwania hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Nationala mjini Bucharest, Romania. Mabao mengine ya City ambayo pamoja na Steaua-Bucharest zinatinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa yamefungwa na David Silva dakika ya 13 na Nolito dakika ya 49, wakati Aguero pia alikosa penalti mbili dakika ya nane na 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Craig Johnson's next Walt Longmire book set for release May 26
-
Best-selling author Craig Johnson has announced that his next Walt Longmire
mystery, "The Brothers McKay," will be released on May 26.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment