• HABARI MPYA

    Wednesday, August 17, 2016

    BALE AREJEA UWANJANI REAL MADRID IKIPIGA MTU 'MKONO'

    Winga wa Real Madrid ya Hispania, Gareth Bale akiwatoka wachezaji wa Stade-Reims katika mchezo wa kirafiki wa mwisho wa kujiandaa na msimu mpya wa La Liga. Real Madrid imeshinda 5-3 Uwanja wa Santiago Bernabeu mabao yake yakifungwa na Nacho, Sergio Ramos, Alvaro Morata, James Rodriguez na Mariano Diaz PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AREJEA UWANJANI REAL MADRID IKIPIGA MTU 'MKONO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top