• HABARI MPYA

    Monday, January 11, 2016

    SAMATTA ALIVYOZURU OFISINI KWA RAIS MSTAAFU KIKWETE LEO

    Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akimkabidhi Rais mstaafu, Dk Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, jezi yake ya klabu ya TP Mazembe ya DRC, alipomtembelea ofisini kwake Lumumba, Dar es Salaam leo.

    Samatta katikati akiwa na Waziri wa Michezo, Nape Nnauye (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Dk Kikwete

    Samatta (kulia) akifurahia na tuzo yake pembeni ya Rais Kikwete

    Samatta na Rais Kikwete wakizungumza na Waandishi wa Habari


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOZURU OFISINI KWA RAIS MSTAAFU KIKWETE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top