• HABARI MPYA

    Sunday, January 03, 2016

    BANDARI YA AKINA AMLIMA ILIWAPA JEURI WANA MTWARA

    Wachezaji wa Bandari ya Mtwara katika picha ya pamoja Uwanja wa Taifa Dar es Salaam (sasa Uhuru) miaka ya 1990 kabla ya moja ya mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza Tanzania (sasa Ligi Kuu). Wa sita kutoka kulia ni aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Idelphonce Amlima. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BANDARI YA AKINA AMLIMA ILIWAPA JEURI WANA MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top