• HABARI MPYA

  Tuesday, January 12, 2016

  AZAM FC MAZOEZINI LEO COCO BEACH KUJIANDAA NA LIGI KUU

  Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazoezini kwenye ufukwe wa Coco, Dar es Salaam leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwishoni mwa wiki dhidi ya African Sports Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC MAZOEZINI LEO COCO BEACH KUJIANDAA NA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top