Mshambuliaji Mfaransa kinda wa umri wa miaka 20, Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la pili dakika ya 60 kufuatia Presnel Kimpembe kufunga la kwanza dakika ya 53 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Manchester Uinited Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana. Huo unakuwa mchezo wa kwanza Man United ambayo ilimaliza pungufu baada ya kiungo wake, Paul Pogba kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 89, kupoteza chini ya kocha mpya wa muda, Ole Gunnar Solskjaer PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The Ashes LIVE: Aussie commentator apologises for his VERY rude swipe at
England
-
Get all the latest scores and updates as Ben Stokes's England team try to
bounce back after a mistake-riddled day two in Brisbane.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment