• HABARI MPYA

  Saturday, June 02, 2018

  UMETUKANIWA WAZAZI WAKO NA KADI NYEKUNDU UMEONYESHWA!

  Refa Mswisi, Fedayi San akimuonyesha kadi nyekundu Cenk Tosun wa Uturuki dakika ya 60 baada ya kwenda kujibizana na mashabiki aliodai walikuwa wanamtukana baba yake na mjomba wake wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana dhidi ya Tunisia uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Geneve, Carouge. Mabao ya Uturuki yalifungwa na Tosun kwa penalti dakika ya 54 na Caglar Soyuncu dakika ya 90, wakati ya Tunisia yalifungwa na  Anice Badri dakika ya 56 na Ferjani Sassi dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UMETUKANIWA WAZAZI WAKO NA KADI NYEKUNDU UMEONYESHWA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top