• HABARI MPYA

  Saturday, June 02, 2018

  NEYMAR NA BRAZIL WAWASILI LIVERPOOL KWA TRENI KUIVAA CROATIA

  Nyota wa Brazil,Neymar akiwasili na wachezaji wenzake stesheni ya treni ya Runcorn baada ya kupandsa treni hiyo London kwenda Kaskazini Magharibi mwa England kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Croatia mjini Liverpool Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR NA BRAZIL WAWASILI LIVERPOOL KWA TRENI KUIVAA CROATIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top