• HABARI MPYA

  Saturday, June 02, 2018

  UFARANSA YAITANDIKA 3-1 ITALIA MECHI YA KIRAFIKI MJINI NICE

  Ousmane Dembele (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Paul Pogba baada ya kuifungia Ufaransa bao la tatu dakika ya 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Mabao mengine ya Ufaransa inayojiandaa na Kombe la Kombe la Dunia yalifungwa na Samuel Umtiti dakika ya nane na Antoine Griezmann kwa penalti dakika ya 29, wakati la Italia lilifungwa na Leonardo Bonucci dakika ya 36 akimalizia mpira wa adhabu wa Mario Balotelli PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UFARANSA YAITANDIKA 3-1 ITALIA MECHI YA KIRAFIKI MJINI NICE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top