• HABARI MPYA

  Saturday, June 02, 2018

  UNAWEZA KUJIONEA JOHN OBI MIKEL AMBAVYO BADO MZIMA

  Kiungo mkongwe wa Nigeria, John Obi Mikel akipasua katikati ya wachezaji wa England, Erie Dier (kulia) na Ashley Young (kushoto). England imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Gary Cahill dakika ya saba na Harry Kane dakika ya 39 wakati la NIgeria limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNAWEZA KUJIONEA JOHN OBI MIKEL AMBAVYO BADO MZIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top