• HABARI MPYA

    Friday, June 01, 2018

    SIMBA, YANGA NA JKU ZILIVYOPASHA LEO NAKURU KUJIANDAA NA MECHI ZA UFUNGUZI

    Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Marcel Boniventura Kaheza aliyesajiliwa kutoka Maji Maji ya Songea akiwa mazoezini na wenzake leo Uwanja wa Rift Valley Sports Club mjini Nakuru, Kenya kujiandaa na michuano ya SportPesa Super Cup inayotarajiwa kuanza Jumapili  
    Beki wa Simba SC, Yussuf Mlipili anayemaliza msimu wa kwanza tangu asajiliwe kutoka Toto Africans akiwa mazoezini leo
    Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe akiwa mazoezini leo na timu yake viwanja vya Michezo vya Nakuru
    Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamsuoko akinyoosha msuli leo viwanja vya Michezo vya Nakuru, maarufu kama Nakuru Athletics
    Wachezaji wa JKU ya Zanzibar wakijifua leo viwanja vya Michezo vya Nakuru, maarufu kama Nakuru Athletics
    Kipa wa JKu, akiwa mazoezini leo viwanja vya Michezo vya Nakuru 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA, YANGA NA JKU ZILIVYOPASHA LEO NAKURU KUJIANDAA NA MECHI ZA UFUNGUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top