• HABARI MPYA

  Sunday, June 03, 2018

  SIMBA SC WAPO TAYARI KUIVAA KARIOBANGI SHARKS KESHO

  Nahodha wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Nakuru, Kenya leo kuelekea mechi ya kesho ya SportsPesa Super Cup dhidi ya Kariobangi Sharks itakayofanyika Uwanja wa Afraha. Kulia ni kocha wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAPO TAYARI KUIVAA KARIOBANGI SHARKS KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top