• HABARI MPYA

  Sunday, June 03, 2018

  WOTE HAWA WAMETUA LIVERPOOL KUTOKA REAL MADRID?

  Wachezaji wa Real Madrid, Marcelo, Mateo Kovacic na Luke Modric wakifurahia pembeni ya nembo ya Liverpool. Wote Marcelo, Luka Modric, Mateo Kovacic na Casemiro watacheza leo Uwanja wa Anfield wakati Brazil na Croatia zikimenyana katika mechi ya kirafiki ya kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WOTE HAWA WAMETUA LIVERPOOL KUTOKA REAL MADRID? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top