• HABARI MPYA

  Sunday, June 03, 2018

  MHESHIMIWA MBUNGE SUGU KATIKA SUTI YA KIGUMU ENZI ZAKE…

  Gwiji wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Osmund Mbilinyi ‘Mr II Sugu’ (kulia) katika suti ya jeans akiwa na mwanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma, Roman Mng’ande ‘Romario’ kwenye ukumbi wa TCC Chang’ombe, Dar es Salaam mwaka 2002 wakati wa onyesho la bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’. Sugu sasa akitamba kwa jina la Jongwe ni Mbunge wa Mbeya Mjini na zaidi amavaa ‘suti laini’ na si za kigumu tena kama hizi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MHESHIMIWA MBUNGE SUGU KATIKA SUTI YA KIGUMU ENZI ZAKE… Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top