• HABARI MPYA

  Saturday, June 02, 2018

  DILUNGA AWA MCHEZAJI BORA, KIYOMBO MFUNGAJI BORA

  Mkurugenzi wa Idara ya Michezo ya Azam TV, Patrick Kahemele akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC) kiungo wa Mtibwa Sugar, Hassan Dilunga baada ya fainali ya michuano hiyo wakishinda 3-2 dhidi ya Singida United jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha 
  Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Athuman Kihamia akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi, Ismail Mhesa wa Mtibwa Sugar
  Meneja Masoko wa benki ya KCB, Kcb David Kigwile akimkabidhi Habib Kiyombo wa Mbao FC tuzo ya Mfungaji wa mashindano kwa mabao yake saba.
  Mkuu wa Mkoa, Mrisho Gambo (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Mtibwa Sugar mfano wa hundi ya SH. Milioni 50
  Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser (kushoto) akimkabidhi tuzo maalum mchezaji aneystaafu katika timu na kuhamia katika benchi la Ufundi, Vincent Barnabas
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DILUNGA AWA MCHEZAJI BORA, KIYOMBO MFUNGAJI BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top