• HABARI MPYA

  Saturday, August 12, 2017

  MCGREGOR NAYE AJIACHIA MTAANI NA KUPIGA BEGI 'KIROHO MBAYA'

  Mbabe wa UFC, Conor McGregor akipiga ngumi begi mjini Nevada, Marekani jana wakati wa mazoezi yake ya wazi mbele ya Waandishi wa Habari kuonyesha alivyo fiti kuelekea pambano lake na Floyd Mayweather Agosti 26, mwaka huu ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas nchini humo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCGREGOR NAYE AJIACHIA MTAANI NA KUPIGA BEGI 'KIROHO MBAYA' Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top