• HABARI MPYA

    Saturday, August 12, 2017

    LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 3-3 NA WATFORD ENGLAND

    Mshambuliaji mpya, Mohamed Salam aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 39 kutoka Roma akiifungia Liverpool bao lililoelekea kuwa la ushindi dakika ya 57 Uwanja wa Vicarage Road timu hiyo ikitoka sare ya 3-3 na wenyeji, Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya 29 na Roberto Firmino kwa penalti dakika ya 55, wakati ya Watford yamefungwa na Stefano Okaka dakika ya nane, Abdoulaye Doucoure dakika ya 32 na Miguel Britos dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 3-3 NA WATFORD ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top