• HABARI MPYA

    Sunday, July 23, 2017

    SAMATTA ALIVYOWAVUJISHA JASHO MABEKI WA EVERTON JANA GENK

    Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta akimtoka beki wa Everton, Ashley Williams jana Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk, Ubelgiji katika mchezo wa kirafiki timu hizo zikitoka sare ya 1-1
    Mbwana Samatta akimtoka beki mpya wa kati wa Everton, Michael Keane jana
    Mbwana Samatta akiwa ameangukia jirani na kipa wa Everton, Jordan Pickford (kulia)
    Mbwana Samatta akimburuza Michael Keane wa Everton jana Uwanja wa Luminus Arena
    Mbwana Samatta akiwa juu kupiga mpira kichwa jana
    Mbwana Samatta akipongezwa na wachezaji wenzake wa Genk baada ya kufunga bao la kusawazisha 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOWAVUJISHA JASHO MABEKI WA EVERTON JANA GENK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top