• HABARI MPYA

    Friday, July 21, 2017

    NEYMAR AKIJIFUA NA MESSI, SUAREZ MAREKANI TAYARI KUIVAA JUVE

    Mshambuliaji Mbrazil Neymar (kushoto), akiwa na nyota wenzake Muargentina Lionel Messi na Luis Suarez wa Uruguay katika mazoezi ya timu yao, Barcelona jana mjini New York, Marekani kujiandaa na mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa dhidi ya Juventus Jumamosi Uwanja wa Metlife mjini humo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AKIJIFUA NA MESSI, SUAREZ MAREKANI TAYARI KUIVAA JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top