• HABARI MPYA

  Saturday, July 22, 2017

  MSHAMBULIAJI HATARI WA NDANDA FC ASAINI MTIBWA SUGAR

  Mshambuliaji chipukizi, Riffat Hamisi akitia dole gumba kwenye fomu za Mtibwa Sugar ya Morogoro kusaini mkataba wa miaka miwili leo kujiunga na mabingwa hao wa zamani wa Tanzania akitokea Ndanda FC kama mchezaji huru   
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI HATARI WA NDANDA FC ASAINI MTIBWA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top