• HABARI MPYA

  Saturday, July 22, 2017

  BATSHUAYI APIGA MBILI...CHELSEA YAIPARUA ARSENAL 3-0 CHINA

  Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za 42 na 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal leo Uwanja wa Taifa wa Beijing, China kwenye mchezo wa kirafiki. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Willian dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI APIGA MBILI...CHELSEA YAIPARUA ARSENAL 3-0 CHINA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top