• HABARI MPYA

  Monday, July 17, 2017

  'MADOGO' WA U19 ENGLAND WALIVYOWASILI NA MWALI WAO WA ULAYA

  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 19 ya England wakiwa na Kombe la Ulaya baada ya kuwasili jana mjini London wakitokea Georgia, ambako waliifunga Ureno 2-1 mjini Gori PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MADOGO' WA U19 ENGLAND WALIVYOWASILI NA MWALI WAO WA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top