• HABARI MPYA

    Tuesday, July 18, 2017

    KIERAN TRIPPIER ASAINI MITANO TOTTENHAM HOTSPUR

    Kieran Trippier akisaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea Tottenham Hotspur aliyojiunga nayo kwa mara ya kwanza Juni mwaka 2015 na sasa atadumu hadi 2022 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIERAN TRIPPIER ASAINI MITANO TOTTENHAM HOTSPUR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top