• HABARI MPYA

  Saturday, July 22, 2017

  SALAH AENDELEZA MOTO WA MABAO LIVERPOOL, LEICESTER YAFA 2-1

  Winga Mmisri Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kusawazisha dakika ya 20 kufuatia Mualgeria Islam Slimani kuifungia la kuongoza Leicester City dakika ya 12 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Ligi Kuu Asia leo Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Liverpool ilishinda 2-1, bao lake la ushindi likifungwa na Mbrazil Philippe Coutinho dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AENDELEZA MOTO WA MABAO LIVERPOOL, LEICESTER YAFA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top