YANGA WALIVYOKAMUA LEO KAUNDA KUIPASHIA MWADUI YA JULIO
Wachezaji wa Yanga kutoka kulia Andrew Vincent 'Dante', Donald Ngoma, Mbuyu Twite na Pato Ngonyani wakifanya mazoezi Uwanja wa Kaunda, Dar es Salaam leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi wiki hii Uwanja wa Kambarage, Shinyanga dhidi ya wenyeji, Mwadui FC ya kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio'
Simon Msuva na Haruna Niyonzima (kulia)
Kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm (kushoto) akizingumza na beki Mtogo, Vincent Bossou mwenye asili ya Togo
Kutoka kulia Msuva, Kessy na Deus Kaseke
Beki Juma Abdul akikimbia
Malimi Busungu (kulia) na Geofrey Mwashiuya (kushoto)
0 comments:
Post a Comment