• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2016

  YANGA VETERANI YALAZIMISHWA SARE NA BIN SLUM KOMBE LA AZAM FRESCO

  Wachezaji wa Bin Slum FC na Yanga Veterans kabla ya mchezo wa Kombe la Azam Fresco jana usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizi zilitoka sare ya 1-1, bao la Bin Slum likifungwa Nsa Job na la Yanga likifungwa na Bakari Malima 'Jembe Ulaya'
  Manahodha Nassor Bin Slum (kushoto) na Ally Yussuf 'Tigana' wa Yanga (kulia) kabla ya mchezo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA VETERANI YALAZIMISHWA SARE NA BIN SLUM KOMBE LA AZAM FRESCO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top