• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2016

  ARSENAL YAPIGA MTU 3-1 MAREKANI, OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA SHUGHULI SI YA KITOTO

  Alex Oxlade-Chamberlain akishangilia baada ya kuifungia Arsenal katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Chivas Alfajiri ya leo Uwanja wa StubHub Center mjini Los Angeles, Marekani. Mabao mengine ya The Gunners yamefungwa na Rob Holding na Chuba Akpom PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPIGA MTU 3-1 MAREKANI, OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA SHUGHULI SI YA KITOTO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top