• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2016

  USAIN BOLT NI NOMA! ASHINDA NA MITA 400, AZOA 'MIMEDALI' KAMA BEIJING 2008 NA LONDON 2012

  Mwanariadha Usain Bolt akishangilia baada ya kushinda Medali ya Dhahabu ya mbio za mita 400 katika Olimpiki ya Rio 2016. Hiyo inakuwa Medali ya tatu ya dhahabu kwa Bolt, baada ya awali kushinda katika mita 100 na 200, hivyo kurudia mafanikio ya Olimpiki za Beijing 2008 na London 2012 aliposhinda Medali zote hizo tatu za dhahabu katika mbio hizo, Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 30 jana alikimbia mbio zake za mwisho mjini Olimpiki ya 2016 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USAIN BOLT NI NOMA! ASHINDA NA MITA 400, AZOA 'MIMEDALI' KAMA BEIJING 2008 NA LONDON 2012 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top