• HABARI MPYA

    Saturday, August 06, 2016

    UKUMBI UMEKWISHAPENDEZA, ANASUBIRIWA MWENYEKITI TU AJE KUKATA MZIZI WA FITINA

    Wanachama wa Yanga wakiwa ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga, Dar es Salaam tayari kwa Mkutano Mkuu wa dharula ulioitishwa na Mwenyekiti wao, Yussuf Manji
    Wanachama wamejitokeza kwa wingi kuashiria kwamba wanaipenda klabu yao

    Lakini wengi hawajui sababu za Mwenyekiti kuitisha Mkutano wa dharula, hivyo wanatafakari

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UKUMBI UMEKWISHAPENDEZA, ANASUBIRIWA MWENYEKITI TU AJE KUKATA MZIZI WA FITINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top