• HABARI MPYA

  Wednesday, August 10, 2016

  SIMBA QUEENS ILIVYOIADHIBU MSIMBAZI QUEENS JANA KARUME

  Kiungo mshambuliaji wa Simba Queens, Zainabu Mohammed (nyeupe) akimtoka beki wa Msimbazi Queens wakati wa michuano ya vijana chini ya umri 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa Ilala. Simba Queens ilishinda 3-0.
  Zainabu Mohammed akitafuta maarifa ya kuwatoka wachezaji wa Msimbazi Queens
  Zainabu Mohammed (nyeupe) akimtoka beki wa Msimbazi Queens
  Mshambuliaji wa Simba Queens Zainabu Mohammed (nyeupe) akichuana na beki wa Msimbazi Queens  
  Mshambuliaji wa Simba Queens Zainabu Mohammed (nyeupe) akichuana na beki wa Msimbazi Queens 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS ILIVYOIADHIBU MSIMBAZI QUEENS JANA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top