• HABARI MPYA

    Thursday, August 04, 2016

    REAL MADRID YAITANDIKA BAYERN MUNICH 1-0 MAREKANI

    Beki wa Real Madrid, Marcelo akimtoka kiungo wa Bayern Munich, Julian Green (kulia) katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa MetLife. Real Madrid imemaliza ziara ya Marekani kwa ushindi wa 1-0, bao pekee la Danilo Luiz Da Silva dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAITANDIKA BAYERN MUNICH 1-0 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top