• HABARI MPYA

  Thursday, August 04, 2016

  OSCAR APIGA MBILI, CHELSEA YAIZABA 3-1 AC MILAN

  Oscar (kushoto) akipongezwa na mwenzake baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan katika mechi ya Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini Minesota, Marekani usiku wa kuamkia leo. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Bertrand Traore, wakati la AC Milan lilifungwa na Gianluigi Donnarumma PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OSCAR APIGA MBILI, CHELSEA YAIZABA 3-1 AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top